Monday, 23 January 2012

London School Of Commerce.

kwa wale wanaopenda kusoma uk, hiki ni baadhi ya vyuo wanavyotoa punguzo la bei kwa wanafunzi wa nchi zinazoendelea. kwahiyo funga mkanda wako vizuri kwani kwa Mungu hakuna linaloshindikana. kama utakuwa na swali garama za kuishi uk, unaweza kuwasiliana na mimi.

No comments:

Post a Comment